Labels

Thursday, June 7, 2012

Ndoa ya gharama kupata kutokea..


Ndoa ya Vanisha Mittal, mtoto wa Lakshmi Mittal, ambaye amepata kuwa mtu wa 8 kwa utajiri duniani,  aliyeolewa na mwekezaji wa mambo ya benki Amit Bhatia iliweka historia ya kuwa ndoa ya gharama zaidi duniani. Ndoa hiyo iliyochukua siku 6 ilifanyika Versailles mwaka 2004.  Sherehe za kuchumbiwa zilifanyika katika hekalu la Versailles—tukio pekee binafsi lilowahi kufanyika  hapo—kulikuwepo na show za Shah Rukh Khan na Kylie Minogue.
Iliripotiwa kutumika shilingi za Kitanzania billioni 88 kuweza ufanikisha sherehe hizo.

No comments:

Post a Comment