Dear All,
Greetings!
Welcome to this blog that will be covering issues regarding all aspects of Youth, Relationship and Marriage. It is my belief that this blog is going to be a tool to keep learning, contributing, sharing and experiencing from other people on various issues to do with the subject matter!
Most of the findings will be coming from FACTS in life, research, readings, experiences and even from the teachings of God.
KARIBUNI SANA and hoping it will benefit a lot of people by either learning before doing it wrong or changing and doing it better after mistakes. Initially I had a plan to once write a book about the same issue but coming to the opportunity the technology provides, I can see this is a more effective way to do it.
Please feel free to share and comment responsibly. I ll try whenever possible to share issues in our mother language so as to also benefit the other group.
Ndugu wapendwa,
Wasalaam na KARIBUNI sana katika Blog hii ya Mambo ya Vijana, Mahusiano na Ndoa.
Ni imani yangu kwamba blog hii itakuwa chombo cha mafunzo zaidi, ushiriki, kuchangia na kupata uzoefu kutoka kwa watu wengine katika jamii kuhusu mambo mbalimbali yanayouhusiana na somo la blog.
Masuala mengi yatakayowakilishwa katika Blog hii yatatokana na matukio halisi katika maisha, tafiti mbalimbali, uzoefu na hata toka katika mafundisho ya dini.
KARIBUNI Sana, natumaini blog hii itakuwa na manufaa kwa watu wengi ama kwa kuwasaidia kujifunza na kutofanya makosa ama kwa kuweza kurekebisha makosa ambayo tayari talikwishafanyika. Mwanzoni nilikuwa na mawazo ya kuandika kitabu wakati fulani katika maisha yangu kuhusu mada hizihizi, lakini kutokana na mabadiliko na ya teknolojia nimeona hii itakuwa njia bora zaidi.
Tafadhali kuwa huru kushiriki na kuchangia kwa hekima. Mara nyingi nitajaribu kutumia lugha yetu ya Kiswahili ili kuweza kufikisha ujumbe kwa wenzetu walio wengi.
Camillius.
No comments:
Post a Comment